Kwasasa Yanga haina kocha mkuu wala Msaidizi, wanasajili wachezaji kwa kufuata ushauri wa nani??

kombaME

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
2,115
Reaction score
2,818
Hii inanishangaza sana,

Maana ninachojua Mwalimu ndo huwa anapendekeza aina gani ya mchezaji asajiliwe kutokana na falsafa yake na aina ya mpira anaofundisha, sasa hawa Yanga wanasajili vipi wachezaji bila Mwalimu??

Nani anashauri mchezaji wa kusajiliwa?
 
Suala la usajili ni pana sana. Mfano kocha anaweza akasajili yeye na asifanye vizuri au akakuta wachezaji na akafanya vizuri.Kocha wa simba kapata mafanikio wakati kakuta wachezaji huku yule wa yanga kuna wachezaji wamesajiliwa yanga akiwepo lakini hajapata mafanikio kumzidi wa simba.Kocha mpya wa yanga atasajili wachezaji kwa kuwaona kwenye video? maana ligi nyingi zimeisha.
 
Kawashitaki mkuu,kwa nn wanafanya hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…