Kwaya zilizotumbuiza BOMAS OF KENYA (National Tallying Centre)

Kwaya zilizotumbuiza BOMAS OF KENYA (National Tallying Centre)

Hakika IEBC wanastahili kupongezwa kwa kuendesha uchaguzi kwa uzuri
 
Hapakuwa na Kaswida?
Wanaweza kudai na wao wawepo lakini sio asili yao. Ukiona wanatoka kutumbuiza hadharani ni ile mbona wao!! mboa sisi hatupo lakini tangu zamani walikuwa wanasema kuimba/ kwaya ni haram lakini ukifuatilia hizo kaswida ni kwaya labda maana ya kuwaya/kuimba hawajui. Ibada zao zote kuanza kukariri aya ni kwa njia ya kuimba labda zamani walikuwa hawajui maana ya kuimba.
 
Zijue kwaya zilizotumbuiza BOMAS OF KENYA (National Tallying Centre).
1. Mtakatifu Kizito Catholic toka Makuburi Roman Catholic, TANZANIA
2. Muungano National Choir
3. Wazalendo Singers

Asante.
Bora walimtanguliza Mungu kwanza na uchaguzi ukaisha kwa Amani.ingekuwa ni huku kwetu wasanii waalikwa wa Tume wangekuwa ...Peter Msechu,Mrisho Mpoto atuzomee na Kina Juma Makabila huku wakina Steve Nyerere wakiwa wageni waalikwa
 
Kenya ndio Taifa lenye Uchumi mkubwa Kwa ukanda wetu wa Afrika Mashariki
 
Back
Top Bottom