Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Kenya kwa katiba ni nchi ya kikristo, Kama majirani zetu wengine ukitoa Zanzibar.Hapakuwa na Kaswida?
Zanzibar nao ni wakristoKenya kwa katiba ni nchi ya kikristo, Kama majirani zetu wengine ukitoa Zanzibar.
Wanaweza kudai na wao wawepo lakini sio asili yao. Ukiona wanatoka kutumbuiza hadharani ni ile mbona wao!! mboa sisi hatupo lakini tangu zamani walikuwa wanasema kuimba/ kwaya ni haram lakini ukifuatilia hizo kaswida ni kwaya labda maana ya kuwaya/kuimba hawajui. Ibada zao zote kuanza kukariri aya ni kwa njia ya kuimba labda zamani walikuwa hawajui maana ya kuimba.Hapakuwa na Kaswida?
Bora walimtanguliza Mungu kwanza na uchaguzi ukaisha kwa Amani.ingekuwa ni huku kwetu wasanii waalikwa wa Tume wangekuwa ...Peter Msechu,Mrisho Mpoto atuzomee na Kina Juma Makabila huku wakina Steve Nyerere wakiwa wageni waalikwaZijue kwaya zilizotumbuiza BOMAS OF KENYA (National Tallying Centre).
1. Mtakatifu Kizito Catholic toka Makuburi Roman Catholic, TANZANIA
2. Muungano National Choir
3. Wazalendo Singers
Asante.