RUKIA MEDDY
Member
- May 20, 2012
- 5
- 2
Nilikuwa na rafiki yangu tuliependana sana...alikuwa ni kama ndugu yangu..ghafla alinibadilikia na kuanza kunidharau na hata kunituc..cku ya jana niliamua kumuuliza sababu ya mabadiliko yake hayo,alichonijibu nusura nizirai..alisema kuwa niachane na mchumba angu coz yeye ndo anammiliki na wanapendana sana so huwa anachukia ninapokuwa nae ndo maana huwa ananitukana..nilipomtafuta mchumba angu akawa ananikatia cm,nikamtumia text zaid ya tano but hajajibu hata moja...so niko njia panda naombeni mnisaidie....Thanx..
Mazee si mpa akusikilize hawa wakisha penda ni balaa, kuna wengine mpaa wanakuhonga ili ubaki nao tu :biggrin:pole sana
anza upya......funga ukurasa
Mazee si mpa akusikilize hawa wakisha penda ni balaa, kuna wengine mpaa wanakuhonga ili ubaki nao tu :biggrin:
Mazee si mpa akusikilize hawa wakisha penda ni balaa, kuna wengine mpaa wanakuhonga ili ubaki nao tu :biggrin:
Huyo mpaa kulalamika hivyo ujuwe kisha fika kwa waganga :biggrin:ha ha haa tutamshauri wee
kumbe anawaza wapi apate mganga wa 'kumrudisha' jamaa lol
Huyo mpaa kulalamika hivyo ujuwe kisha fika kwa waganga :biggrin:
Unadhani ataishia kwa waganga wawili watatu, sia ajabu kesho ukasikia yuko sumbawanga :biggrin:kwa hiyo hata waganga washashindwa?
ha ha haaa lol
hilo nalo nenoha ha haa tutamshauri wee
kumbe anawaza wapi apate mganga wa 'kumrudisha' jamaa lol
Unadhani ataishia kwa waganga wawili watatu, sia ajabu kesho ukasikia yuko sumbawanga :biggrin: