bora huyo kakuambia, mshukuru sana.
Ila ningeweza kumwita na yeye akasema story yake ndio ningeamini.
Kuna wanawake wana mambo.
Ndo ukubwa!
Unadhani ataishia kwa waganga wawili watatu, sia ajabu kesho ukasikia yuko sumbawanga :biggrin:
Nilikuwa na rafiki yangu tuliependana sana...alikuwa ni kama ndugu yangu..ghafla alinibadilikia na kuanza kunidharau na hata kunituc..cku ya jana niliamua kumuuliza sababu ya mabadiliko yake hayo,alichonijibu nusura nizirai..alisema kuwa niachane na mchumba angu coz yeye ndo anammiliki na wanapendana sana so huwa anachukia ninapokuwa nae ndo maana huwa ananitukana..nilipomtafuta mchumba angu akawa ananikatia cm,nikamtumia text zaid ya tano but hajajibu hata moja...so niko njia panda naombeni mnisaidie....Thanx..

sasa ulitaka amng'ate sikio kama Mike Tyson na Evander Holyfield? Watu wenyewe wa siku hizi wakisukumwa kidogo tu wameng'okaMwanamke mwenzio kakujibu hivo? ukamwangalia tu?
hana tena option jamani, ndo amependa hapo, wewe mwenyewe ni shahidi kumuacha umpendaye inauma kuliko kuugua malariahapo njia panda unatafuta nini?
huu ni ushauri mzuri sana lakini sio rahisi kwake yeye kuutekeleza kwa sasa hasa kutokana na mazingira yenyewe ya rafiki kumfuata na kumweleza live bila chenga kuwa yeye ndie anajilia mambopole sana
anza upya......funga ukurasa
Mwanamke mwenzio kakujibu hivo? ukamwangalia tu?
Erotica ingekuwa wewe ungefanya nini hebu nambie ?Mwanamke mwenzio kakujibu hivo? ukamwangalia tu?