Kwel nimeamini kikulacho kinguoni mwako..

Rukia Meddy,

Tafadhali ni pm tuliwazane.
 
Pole sana!!. Hiyo ni sawa na kujikwaa halafu unadondoka, haina maana kuwa ndio uwe mwisho wa safari yako dada angu. Unachotakiwa kufanya ni kusimama tena na kuendelea na safari yako kwa kuwa mwangalifu zaidi ikiwezekana badili njia na ufuate ile ambayo haina mawe ya kukufanya ujikwae tena. Tafuta kidume kingine dada.
 
Sasa hapa Charming girl ndio unataka kusemaje?? Kuwa angekuoa wewe asingekuwa mlevi au?
 
:A S-baby😛ole ndugu,a
nza upya ndio mchakato wenyewe huo.niafadhali kwako yametokea kabla hamjaoana,fikiria kama ingekua baada ya marriage?
 
a pole ndugu haya mambo hutokea sana. mshukuru mungu yametokea kabla ya kuoana:A S cry:
 

uwiiiiiiiiiiiiiii hivi haya mambo kumbe ni kweli yanatokeaga! Jamani pole sana, nways usimpe mwanya if at ol u luv him, fight for your man, mpaka arudi kwenye line!
 
Du Lazima uwe mwanadada coz naona umemwachia kirahisi sana huyo mwiz wako! Yan hata kofi la kumwotea tu jamani? Basi inabidi ujirekebishe sasa, timiza majukumu yako vizuri ili asikukimbie tena huyo atakae kuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…