Kweli Ajira zimekua ngumu mtaani.

Kweli Ajira zimekua ngumu mtaani.

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Jamaa X kaitwa kwenye Usaili katika kampuni flani ile wamejipanga wanasubiria kuitwa ikifka zamu ya Jamaa X

Ameitwa ile anaingia ndani akaambia WAIT PLEASE...Jamaa X akajibu 75kg boss.

Ilibidi wamwambie next week aje aanze kazi hata inteview haikuendelea tena.
 
Back
Top Bottom