Kweli akufaaye kwa dhidi ndiye wako wa kweli, rais Uhuru ndiye rais pekee aliyehudhuria kuapishwa kwa Mkongoman

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Ndio mara ya kwanza Wakongoman kufanya uchaguzi bila kuchinjana na kufikia hadi hatua ya kuapisha, na ndio mara ya kwanza upinzani kushinda na kupokezwa uongozi kule. Kwa hivyo ni tukio la kihistoria ambalo viongozi wengine hawakupaswa kukunja mikia na kujificha kwa visingizio vya kubana matumizi.

Walialikwa marais 17 wakiwemo wa nchi kama Tanzania, CAR, Zimbabwe, Malawi, SA , Ethiopia Sudan, Sudan, Egypt,Sierra Leone, Haïti
Lakini wote wamekwepa kimya kimya

-------------------------------------------------

President Uhuru Kenyatta, on Thursday, showed up alone during the inauguration of Felix Tshisekedi's inauguration in DRC.

According to reports, the state had invited 17 other Presidents among them including Tanzania, CAR, Zimbabwe, Malawi, SA , Ethiopia Sudan, Sudan, Egypt,Sierra Leone, Haïti among others.

The ceremony took place at the state's Presidential Palace in Kinshasa.

Former Prime Minister Raila Odinga and Wiper leader Kalonzo Musyoka also attended the inauguration.
Raila was attending the event in his capacity as the African Union Envoy and not a Kenyan political figure.

The three were accompanied by Suna East MP Junet Mohamed and his Homa Bay counterpart Gladys Wanga together with senators Ledama Ole Kina and Amos Wako.

That was the first time, since 1960, that the conflicted country ushered in a new president in peace.

Tshisekedi takes over from long term leader Joseph Kabila.
Uhuru Shows Up Alone at DRC's President's Swearing-In [PHOTO]
 
Wamempongeza kimya kimya wanawaogopa EU na AU. Hio nchi kila Head of State anatamani kuwa nayo karibu kwa utajiri ilionayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu anasumbua huku kwetu hakujatulia. Magufuli ni wa kuonwa kama mgonjwa, hatoki!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Hehehe! Lakini huyo jamaa Lissu nilipenda alivyojibu maswali ya mahojiano, alionekana kujiamini sana, ndio Mtanzania wa kwanza mimi kuona anahojiwa kwenye level hiyo ya kikaango na kubaki akiwa poa poa tu, japo mwandishi wa habari aliegemea sana upande mmoja, ni kama hata hakua anaskliza majibu ya Lissu.
Lakini pia huyo Lissu nilimshangaa yaani hakuna hata moja alilosema nzuri la Magufuli, haiwezekani rais awe amechemsha kwa kila kitu, upinzani wa Kiafrika huwa na matatizo, huponda tu asilimia 100% kwa kila kitu.
 
Hehehe! Lakini huyo jamaa Lissu nilipenda alivyojibu maswali ya mahojiano, alionekana kujiamini japo mwandishi wa habari aliegemea sana upande mmoja, ni kama hata hakua anaskliza majibu ya Lissu.
Lakini pia huyo Lissu nilimshangaa yaani hakuna hata moja alilosema nzuri la Magufuli, haiwezekani rais awe amechemsha kwa kila kitu, upinzani wa Kiafrika huwa na matatizo, huponda tu asilimia 100% kwa kila kitu.
Mkuu, Lissu hajakataa hata mara moja kwamba hakuna zuri hata moja alilofanya huyu petty dictotor. Lissu ametaja kwamba mathalani ametusaidia kujua umuhimu wa utawala wa sheria, na hilo nakubaliana nae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio mara ya kwanza Wakongoman kufanya uchaguzi bila kuchinjana na kufikia hadi hatua ya kuapisha, na ndio mara ya kwanza upinzani kushinda na kupokezwa uongozi kule. Kwa hivyo ni tukio la kihistoria ambalo viongozi wengine hawakupaswa kukunja mikia na kujificha kwa visingizio vya kubana matumizi.

Walialikwa marais 17 wakiwemo wa nchi kama Tanzania, CAR, Zimbabwe, Malawi, SA , Ethiopia Sudan, Sudan, Egypt,Sierra Leone, Haïti
Lakini wote wamekwepa kimya kimya

-------------------------------------------------

President Uhuru Kenyatta, on Thursday, showed up alone during the inauguration of Felix Tshisekedi's inauguration in DRC.

According to reports, the state had invited 17 other Presidents among them including Tanzania, CAR, Zimbabwe, Malawi, SA , Ethiopia Sudan, Sudan, Egypt,Sierra Leone, Haïti among others.

The ceremony took place at the state's Presidential Palace in Kinshasa.

Former Prime Minister Raila Odinga and Wiper leader Kalonzo Musyoka also attended the inauguration.
Raila was attending the event in his capacity as the African Union Envoy and not a Kenyan political figure.

The three were accompanied by Suna East MP Junet Mohamed and his Homa Bay counterpart Gladys Wanga together with senators Ledama Ole Kina and Amos Wako.

That was the first time, since 1960, that the conflicted country ushered in a new president in peace.

Tshisekedi takes over from long term leader Joseph Kabila.
Uhuru Shows Up Alone at DRC's President's Swearing-In [PHOTO]

Nawezasema uhuru ndiye Rais Kichwa Maji Zaidi Africa,
Sijui kama huwa anajielewa huyo jamaa, Unadhani marais wote hao kuskip hizi invitations ni Wajinga?
 
light-bulb.jpg
 
Hehehe! Lakini huyo jamaa Lissu nilipenda alivyojibu maswali ya mahojiano, alionekana kujiamini sana, ndio Mtanzania wa kwanza mimi kuona anahojiwa kwenye level hiyo ya kikaango na kubaki akiwa poa poa tu, japo mwandishi wa habari aliegemea sana upande mmoja, ni kama hata hakua anaskliza majibu ya Lissu.
Lakini pia huyo Lissu nilimshangaa yaani hakuna hata moja alilosema nzuri la Magufuli, haiwezekani rais awe amechemsha kwa kila kitu, upinzani wa Kiafrika huwa na matatizo, huponda tu asilimia 100% kwa kila kitu.
Lissu has high IQ compared to All Kenyans and CCM members
 
Back
Top Bottom