Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
Leo nipo maeneo ya Matejoo Arusha. Kwa mara ya sita sasa sikio langu limekosa mipaka ya kusikiliza hili jambo. Jana wadada fulani hapa maeneo niliyo fikia, walikuwa wakimteta mwenzao ambaye amechumbiwa na kijana toka mkoa wa Tanga. Moja wapo akisema, hata mahari iwe milioni kumi, siolewi na mtu wa Tanga. Wavivu haoo!
Jamani Tanga kunani, Je ni kweli au uvumi tu. Nini chanzo cha yote?
Jamani Tanga kunani, Je ni kweli au uvumi tu. Nini chanzo cha yote?