Kweli au si kweli, uvaaji wa kitu(metali) mkononi unaweza kuiathiri afya kwa ujumla?

Kweli au si kweli, uvaaji wa kitu(metali) mkononi unaweza kuiathiri afya kwa ujumla?

Uhakika Bro

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2022
Posts
3,644
Reaction score
4,315
Kwa kweli mi utafiti wa kisayansi utakuja kunikuta baadaye tayari nishafikaga huko.
Screenshot_20231106-111202_WhatsApp.jpg

Unajua mambo mengi tu yaliyopo kiasili, huwa tayari ndio ukweli sema tu unasubiria sayansi kuja kutoa maelezo kwamba kwa nini hicho kitu ni kweli.

Lakini mi sio mjinga. Sitasubiri hadi mwanasayansi wa nje aje aseme oooh hiki kitu ni kizuri tumia. Ni kama mtu kusubiri mzungu ndio aje agundue mlima Kilimanjaro. Sio mimi

Kivideo hapo chini kinatukumbusha kuwa. Kuna uwezekano kitu kikavaliwa tu mkononi halafukikaleta afya kwa mwili wote.

Kama utavaa urembo mikononi anyways, kwa nini usivae madini halisi. Ni nini kinachokufanya uone kwamba kuvaa bangili ya plastiki ni sawa lakini sio kuvaa bangili ya metali halisi.

Hivi unajua kama shaba na madini mengine hayatunzi uchafu na wadudu, ukilinganisha na hayo maplastiki.

Tafiti zinaonesha hata hospitali zenye koki, handrail na vitasha vyenye shaba wagonjwa wake hawapati maambikizi hospitalini 'nosocomial infections'

Tafakari mwenyewe. Si unayo akili bhana.

Mi kwa tafakari uangu ntasema hivii: Nadhani elimu ndogo ndiyo iliyosababisha mtu aseme kwamba 'huyu mtu atakuwa analindwa na mizimu, ndio maana afya yake ipo vizuri' kumbe hakuna cha mzimu wala nn, ni sayansi tu.

Au wazee wa zamani (wa kisukuma na makabila mengine) hawakujua ni ki vipi watu wenye shida za kiafya, wanakaa sawa wakivalishwa metali mkononi. Ndio wakasingizia ni mizimu.

We unasemaje

Imetolewa whatsapp channel: Masala Kulangwa.

 
Tumefikia hapa

Nyie ndugu zangu mnaona utofauti wowote?? Siku ya 14 ya jaribio

Wacha tuishi tuone
Screenshot_20240404-123709_Gallery.jpg
 
Leo tar 18/4/2024 hali ndio hii

Ni kwamba namba 1,2,3,4,5,6 na 10 ni yenye waya wa shaba
Halafu namba 7,8,9,11 na 12 ndio hamna kitu
Screenshot_20240418-082843_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom