Kiongoz Nilichogundua binadam tunafanana sana..yaan hakuna mweus mchina wala mzungu ni hiv umbea majungu unafki wote tuko sawa...utofaut wetu ni kwamba hawa wako level nyingne ya kiuchumi tu ila character za kibinadam ni zile zile kaka...pia wanachapa kaz baasi..mengne tuko sawa..ushakunaku wanao sana na majungu piaPisi ya kizungu inaleta pigo za kizaramo piga chini chukua ya kilatina wanajua shida hawa
Huyu ni Og kiongoz,naishi nae mashamban hukuila na wewe kwanini ulioa mzungu wa tandika........??
Hahaha..kiongozi sio rahis kihivyoPiga chini hiyo ngozi nyeupe ....
Kumbe umeolewa Ulaya? Hongera sanaNi hivi, huyu bibie kama miaka miwil nyuma hivi nilikua sijapata kazi ya maana, yaani ilikua nafanya kazi hii narukia hii, au nafanya kazi mbili kwa wakati mmoja.
Kama mnavyojua kazi na agencies, kama kazi zipo warehouse basi mnaenda kama hamna mnatulia. Basi huo ndiyo ulikua mtindo so nikawa mara nyingi nakua break so tunakua na muda fulani wa kupumzika nayeye.
Ikawa ni maneno ya hapa na pale kwamba hamna stable income na mama yake nadhan alikua anachangia kumpamp.
Sasa nina kama miez 7 hivi nina kazi nyingne ambayo mkataba unanibana kwelkweli. Napiga kazi 12hrs na kama mnavyojua watu weupe ni kazi kazi hakuna kutegea.
Ni kampun kubwa na wanalipa vizuri so sina shida kwenye income ila ndo kazi yenyewe ni u anapigika kwelikweli yaani siku ya kupumzika ni unalala tu siku mbili mfululizo..
Mahitaj natoa kama kawaida. Yeye pia anafanya kaz ila ili nisionekane ngoz nyeus kinyonge so mahitaj meng nacover mimi.
Ni hivi hizi ngozi nyeupe zna stereo types na beliefs nying sana kuhusu ngoz nyeus so kama hu provide bas ni majungu,wana majungu hawa balaa. Basi najitahid sana.
Tatzo lilopo sasa nalaumiwa
1. Sina muda naye
2. Nalala tuu muda wote nikiwa home
3. Simsaidii kazi za home
4. Muda wote niko na simu. Kiukweli muda mwing huwa niko na simu maana nikiwa job simu huwa hatutumii so nikiwa break ndo muda wangu huu na mara nying niko youtube, instagram au facebook kuchek matukio yanayoendelea nyumban bongo, sababu sio siri namiss bongo kinoma.
Sasa wadau, hivi kuna mode yoyote ya jinsi ya kuish na wanawake bila kelele.
Yaani nikawa na amani au ndiyo haiwezekani kabisa
Hahah..hawa watu kuwapata ni had waku trust kwelkwel..maana ubaguz na stereo types kuhusu watu weusi wanafundishwa kutokea utoton...tunaitwa black sheeps..yaan wenye laana..hahah..mkuu watu weupe wanachukia sana watu weusi...ni vile inatokea tu mnajuana sehem za kaz anakusoma anaona kumbe hawa watu ni wa kawaida tu sio kama tulivyoambiwa bas ukipiga mashine na kujituma inavyotakiwa kwishanatamani ngozi nyeupe niunge na mimi bas
Ukioa mswahili kazi ukioa mzungu kazi iko pale pale.Ni hivi, huyu bibie kama miaka miwil nyuma hivi nilikua sijapata kazi ya maana, yaani ilikua nafanya kazi hii narukia hii, au nafanya kazi mbili kwa wakati mmoja.
Kama mnavyojua kazi na agencies, kama kazi zipo warehouse basi mnaenda kama hamna mnatulia. Basi huo ndiyo ulikua mtindo so nikawa mara nyingi nakua break so tunakua na muda fulani wa kupumzika nayeye.
Ikawa ni maneno ya hapa na pale kwamba hamna stable income na mama yake nadhan alikua anachangia kumpamp.
Sasa nina kama miez 7 hivi nina kazi nyingne ambayo mkataba unanibana kwelkweli. Napiga kazi 12hrs na kama mnavyojua watu weupe ni kazi kazi hakuna kutegea.
Ni kampun kubwa na wanalipa vizuri so sina shida kwenye income ila ndo kazi yenyewe ni u anapigika kwelikweli yaani siku ya kupumzika ni unalala tu siku mbili mfululizo..
Mahitaj natoa kama kawaida. Yeye pia anafanya kaz ila ili nisionekane ngoz nyeus kinyonge so mahitaj meng nacover mimi.
Ni hivi hizi ngozi nyeupe zna stereo types na beliefs nying sana kuhusu ngoz nyeus so kama hu provide bas ni majungu,wana majungu hawa balaa. Basi najitahid sana.
Tatzo lilopo sasa nalaumiwa
1. Sina muda naye
2. Nalala tuu muda wote nikiwa home
3. Simsaidii kazi za home
4. Muda wote niko na simu. Kiukweli muda mwing huwa niko na simu maana nikiwa job simu huwa hatutumii so nikiwa break ndo muda wangu huu na mara nying niko youtube, instagram au facebook kuchek matukio yanayoendelea nyumban bongo, sababu sio siri namiss bongo kinoma.
Sasa wadau, hivi kuna mode yoyote ya jinsi ya kuish na wanawake bila kelele.
Yaani nikawa na amani au ndiyo haiwezekani kabisa
utauwa pamoja na kuridhika kuna faida kubwaAkili ya binadamu haija umbwa kuridhika na hayo ndyo maendeleo😁
Binadamu hachoki kufikiri.utauwa pamoja na kuridhika kuna faida kubwa
TIMOTHEO 6
Vumilia tuu mkuu,hamna namba!Ni hivi, huyu bibie kama miaka miwil nyuma hivi nilikua sijapata kazi ya maana, yaani ilikua nafanya kazi hii narukia hii, au nafanya kazi mbili kwa wakati mmoja.
Kama mnavyojua kazi na agencies, kama kazi zipo warehouse basi mnaenda kama hamna mnatulia. Basi huo ndiyo ulikua mtindo so nikawa mara nyingi nakua break so tunakua na muda fulani wa kupumzika nayeye.
Ikawa ni maneno ya hapa na pale kwamba hamna stable income na mama yake nadhan alikua anachangia kumpamp.
Sasa nina kama miez 7 hivi nina kazi nyingne ambayo mkataba unanibana kwelkweli. Napiga kazi 12hrs na kama mnavyojua watu weupe ni kazi kazi hakuna kutegea.
Ni kampun kubwa na wanalipa vizuri so sina shida kwenye income ila ndo kazi yenyewe ni u anapigika kwelikweli yaani siku ya kupumzika ni unalala tu siku mbili mfululizo..
Mahitaj natoa kama kawaida. Yeye pia anafanya kaz ila ili nisionekane ngoz nyeus kinyonge so mahitaj meng nacover mimi.
Ni hivi hizi ngozi nyeupe zna stereo types na beliefs nying sana kuhusu ngoz nyeus so kama hu provide bas ni majungu,wana majungu hawa balaa. Basi najitahid sana.
Tatzo lilopo sasa nalaumiwa
1. Sina muda naye
2. Nalala tuu muda wote nikiwa home
3. Simsaidii kazi za home
4. Muda wote niko na simu. Kiukweli muda mwing huwa niko na simu maana nikiwa job simu huwa hatutumii so nikiwa break ndo muda wangu huu na mara nying niko youtube, instagram au facebook kuchek matukio yanayoendelea nyumban bongo, sababu sio siri namiss bongo kinoma.
Sasa wadau, hivi kuna mode yoyote ya jinsi ya kuish na wanawake bila kelele.
Yaani nikawa na amani au ndiyo haiwezekani kabisa
Ulinilumbuka lini acha uongo basiNipoo halafu nilikukumbuka
Leo, nikajiuliza umevuta umerudisha namba nini!1😄😄Ulinilumbuka lini acha uongo basi
Bado nadunda ndugu yanguLeo, nikajiuliza umevuta umerudisha namba nini!1😄😄
TUtafutane nikununue hata ugoro rafiki😂Bado nadunda ndugu yangu
Noma kakaVumilia tuu mkuu,hamna namba!
Niko nchi tajir ulaya,..tabia za wanawake ni universal kaka..haijalish ni bongo ama ni wapWee upo nchi gani kumbe na wazungu nao ni ombaomba😳
Wewe sometimes unapika na yeye yuko sebureni anacheza na simu sio? Si kawaida hiyo?Niko nchi tajir ulaya,..tabia za wanawake ni universal kaka..haijalish ni bongo ama ni wap