Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari ya upepo tushaiongelea hapa kuanzia chanzo chake (mwendo wa hewa kutoka kwenye pressure kubwa kwenda kwenye ndogo) mpaka kifaa cha luupimia (anemometer).
Roho ni nini na tutajuaje kwamba ipo kweli na si hadithi ya kuungaunga tu?
.Kwa hiyo baada yakuongea hayo yote hayo muaafaka wenu mulibaini nini? upepo unakufa au haufi??Habari ya upepo tushaiongelea hapa kuanzia chanzo chake (mwendo wa hewa kutoka kwenye pressure kubwa kwenda kwenye ndogo) mpaka kifaa cha luupimia (anemometer)
Roho ni nini na tutajuaje kwamba ipo kweli na si hadithi ya kuungaunga tu?
FYI:Habari ya upepo tushaiongelea hapa kuanzia chanzo chake (mwendo wa hewa kutoka kwenye pressure kubwa kwenda kwenye ndogo) mpaka kifaa cha luupimia (anemometer).
Roho ni nini na tutajuaje kwamba ipo kweli na si hadithi ya kuungaunga tu?
.....kwa utafiti wangu roho ipo kwenye vitals organ, ambavyo ni ubongo,moyo,mapafu, ini na tumbo. Hivi vitu vimeshikilia roho.
Kimojawapo kisipofanya kazi hapo ndio mwisho wako umefika.
.Kwa hiyo baada yakuongea hayo yote hayo muaafaka wenu mulibaini nini? upepo unakufa au haufi??
Hilo hata halikuwa swali.
Swali la dada mmoja lilikuwa utapingaje uwepo wa roho kwa sababu haijulikani ni nini na haipimiki na hapo hapo ulakubali uwepo wa upepo ambao nao (alivyofikiri yeye huyu dada) haujulikani ni nini na haupimiki?
Jibu langu likamuonyesha sio tu upepo unajulikana ni nini na kupimika, bali kuna mpaka ramani za mikondo ya upepo duniani.
Sioni habari ya upepo kufa inakujaje hapa, ingawa napo ulitaka jibu jibu ni kwamba unakufa kwa kuishiwa kani.
hujamaliza kujibu swali.
mtoa mada umeuliza roho inakaa wapi katika mwili? tiyari ushajibu
pili? mtu akifa roho inaenda wapi??, bado hujajibu.
.....kwa utafiti wangu roho ipo kwenye vitals organ, ambavyo ni ubongo,moyo,mapafu, ini na tumbo. Hivi vitu vimeshikilia roho.
Kimojawapo kisipofanya kazi hapo ndio mwisho wako umefika.
Unagofautishaje roho na uhai katika context yako?
Huoni kwamba unauita "uhai" roho tu na hakuna roho?
Rejea katika Biblia Takatifu.
( Mwanzo 1 : 27 Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba. )
Mungu akaumba mtu = Maana yake Mungu alianza kuumba roho ( mtu/me au ke )..
( Mwanzao 2 : 7 Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai. )
[ Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi = Mungu akafanya mwili yaani akatengeneza mwili kwa mavumbi ], [ akampulizia puani pumzi ya uhai = Roho aliyo ifanya akaiweka ndani ya mwili alio utengeneza kwa mavumbi ] ndipo mtu akawa nafsi hai.
Sisi wanadamu ni roho ki uharisia, na ndio maana mwanadamu anauwezo wa kwenda katika ulimwengu wa Roho au kua katika hali ya ulimwengu huu wa kawaida. Unaweza ona namna Yohana Mtume katika kitabu cha ufunuo.
Na kama tujuavyo ya kua Mungu ni Roho ndio maana akasema
( Mwanzo 1 : 26 Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi. )
Na mwili ulio undwa kwa mavumbi ndio una mfanya mwandamu kua halali katika dunia hii, maana viumbe wote walio Roho pasipo na mwili ni ilegal hapa duniani.
Haya ni kwa mujibu wa Biblia, kwa namna nyingine sifahamu.