Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
Mmekatishwa tamaa na speed yakeKatika nchi zenye watu waliostaarabika, kauli tu za Magufuli zinatosha kumpiga chini achilia mbali uvunjaji wa sheria na katiba ya nchi.
Utakapo anza kujitegemea kimaisha, ndipo akili yako itakaa sawa!.Mmekatishwa tamaa na speed yake
Hawajui hawa. Kwa kauli za Magufuli angetoa Sweden au India au Uk au hata hapo ghana tu kwenye demokrasia ya kweli Africa angepaswa kupigwa chini vibaya sanaKatika nchi zenye watu waliostaarabika, kauli tu za Magufuli zinatosha kumpiga chini achilia mbali uvunjaji wa sheria na katiba ya nchi.
Nimeanza kujitegemea kabla baba yako hajaoana na mama yakoUtakapo anza kujitegemea kimaisha, ndipo akili yako itakaa sawa!.
Sasa mbona una akili ndogo hivi?Nimeanza kujitegemea kabla baba yako hajaoana na mama yako
Hahahahahaaa, kutoka kwenye kulalamikia ufisadi mpaka kulalamikia kauli, bhahahahaaa, mmepoteana ngojeni October 28 tuwazike rasmi.Hawajui hawa. Kwa kauli za Magufuli angetoa Sweden au India au Uk au hata hapo ghana tu kwenye demokrasia ya kweli Africa angepaswa kupigwa chini vibaya sana
Kwanza Magufuli analalamikiwa kwa kauli tu??? Sidhani kama una akili vizuri au unajitoa ufahamu tu???Hahahahahaaa, kutoka kwenye kulalamikia ufisadi mpaka kulalamikia kauli, bhahahahaaa, mmepoteana ngojeni October 28 tuwazike rasmi.
Nikumbushe ripoti ya benki ya dunia waliyoitoa mwanzoni mwa mwezi huu, wanasema uchumi wa Tanzania umekuwaje vile. Bhahahahahaa, Ni kichaa tu ndiye anayeweza kuwaza kama wewe.Kwanza Magufuli analalamikiwa kwa kauli tu??? Sidhani kama una akili vizuri au unajitoa ufahamu tu???
Huoni anavyolalamikiwa kuua uchumi?? Jioni anavyolalamikiwa kuua biashara za mazao kama Korosho, mbaazi na mahindi??? Jioni anavyolalamikiwa kwa kuharibu sekta binafsi na kuua ajira????
I'm not responsible for your retarded fools.Nimeanza kujitegemea kabla baba yako hajaoana na mama yako
Bhahahahahaa, nenda Ufipa ukavute bangi uje kuendelea na matusi.I'm not responsible for your retarded fools.
Hujui kuna ripoti nyingine inasema masikini wameongezeka kwa kiwango cha watu milioni 2 ndani ya hii awamu ya tano??!Nikumbushe ripoti ya benki ya dunia waliyoitoa mwanzoni mwa mwezi huu, wanasema uchumi wa Tanzania umekuwaje vile. Bhahahahahaa, Ni kichaa tu ndiye anayeweza kuwaza kama wewe.
Hata mm nilitegemea ccm wasiitaje tena chadema, lkn kila uchwao chadema, chadema. UDP na TLP hamviongelei kwanini?Chadema si mlisema imekufa, nyie ccm nivichekesho