Kirikou Wa Kwanza JF-Expert Member Joined May 24, 2013 Posts 3,564 Reaction score 1,991 Jan 15, 2016 #1 Nimepita mitaa ya uswahilini Mwananyamala kwenye kichochoro kimoja nimewakuta wazee wawili wamekumbatiana kwa mahaba mazito wakilana denda. Nikapita kama siwaoni mara nikasikia, "Mjukuu wangu hii nd'o Mwananyamala hapa kazi tu."
Nimepita mitaa ya uswahilini Mwananyamala kwenye kichochoro kimoja nimewakuta wazee wawili wamekumbatiana kwa mahaba mazito wakilana denda. Nikapita kama siwaoni mara nikasikia, "Mjukuu wangu hii nd'o Mwananyamala hapa kazi tu."
Mlalahoi Mlalahai JF-Expert Member Joined Jul 20, 2015 Posts 399 Reaction score 146 Jan 15, 2016 #2 Ha ha ha ha kama nawaona mmoja hana meno ya mbele, mwingine mdomo umepinda
Kirikou Wa Kwanza JF-Expert Member Joined May 24, 2013 Posts 3,564 Reaction score 1,991 Jan 15, 2016 Thread starter #3 Mlalahoi Mlalahai said: Ha ha ha ha kama nawaona mmoja hana meno ya mbele, mwingine mdomo umepinda Click to expand... Tehe tehe tehe hapa kazi tu!
Mlalahoi Mlalahai said: Ha ha ha ha kama nawaona mmoja hana meno ya mbele, mwingine mdomo umepinda Click to expand... Tehe tehe tehe hapa kazi tu!
wembeee JF-Expert Member Joined Jan 16, 2015 Posts 2,708 Reaction score 1,353 Feb 1, 2016 #4 Acha kutunga habari wwe punguani ficha upumbavu wako
Kirikou Wa Kwanza JF-Expert Member Joined May 24, 2013 Posts 3,564 Reaction score 1,991 Feb 5, 2016 Thread starter #5 wembeee said: Acha kutunga habari wwe punguani ficha upumbavu wako Click to expand... We mwanamke funga bakuli lako kama huelewi maana ya hili jukwaa.
wembeee said: Acha kutunga habari wwe punguani ficha upumbavu wako Click to expand... We mwanamke funga bakuli lako kama huelewi maana ya hili jukwaa.