Sijaona cha ajabu hapo mimi, mtu anaomba mzigo badala ya kumhudumia, unapigwa pumbuwazi!
afanyae na afwanywae wote adhabu moja,tumkumbukeni mwenyezi mungu wajameni
Sijaona cha ajabu hapo mimi, mtu anaomba mzigo badala ya kumhudumia, unapigwa pumbuwazi!
nusu saa iliyopita nikiwa na rafiki yangu maeneo ya magomeni makuti kumetokea tokio ambalo limeniacha mdomo wazi.Ni kijana smart umri 20-25 moja kwa moja alimfuata rafiki yangu na kumpapasa kifuani huku akimwambia amempenda anataka akamnaniliu na atamlipa, dah hapa tulipo nguvu zimetuishia kabisa