Kweli duniani hamna haki

steel fingure

Senior Member
Joined
Apr 4, 2015
Posts
114
Reaction score
41
Mpaka sasa hivi najiuliza na sipati jibu inakuwaje mywether kapigwa round zote kumi na mbili lakn atawazwe kuwa mshind na man pacquio aliyeweza kumudu na kumkimbiza mywether round zote kushindwa mpaka sasa sijajua vigezo na sababu ya kutokea hvyo.
 
We acha tu..mbereko zipo kila nyanja
 
The answer is simple
You know nothing about boxing

Nakupa chalenji just google may vc pac zitakuja web site kibao zilizokua zinafanya uchambuzi kila baada ya round
Nitafutie site unayoijua maarufu ya kuaminika iliyokwenda tofauti na majaji
 
Kijana tambua kuwa kuna raund maalum za fedha na pia urushwaji wa ngumi wa man pacyao ulikuwa wa kuishia hewani.
 
Kamali za wenzetu ni hatari sana hata unayesema angalia sijui takwimu bado utabaki pale pale majaji ndiyo waamuzi wa hizo takwimu
 
Usishangae sana mkuu si unaona hata yanga jana walipiga mpira wa hatari lakini eti jamaa ndo walishinda....
 
Yuko live on ESPN right now. Keshaanza visingizio eti aliumia bega kabla ya fight!
Anakiri kuwa amepigwa kihalali.
Mfilipino kazi yake ni kuchoma viazi Na sio boxing
Mtakula maneno yenu leo. Mayweather ndio dume
 
Tokea lini mmarekani akakubali kushindwa.
 
Maywether ndio ameizika boxing rasmi, hakuna mtu atafuatilia huu upuuzi tena
 
Yuko live on ESPN right now. Keshaanza visingizio eti aliumia bega kabla ya fight!
Anakiri kuwa amepigwa kihalali.
Mfilipino kazi yake ni kuchoma viazi Na sio boxing
Mtakula maneno yenu leo. Mayweather ndio dume

Mayweather katupa ngumi 435 kati ya hizo 148 zikampata pacman. Na pacq katuma 429 zimemwingia za uso jamaa 81. Ushindi wenu, hongera sana
 
Pacquiao Yupo live ESPN right now in a press conference na kwa maneno yake mwenyewe anakiri kuwa amepigwa kihalali sasa sijui mnataka nini.
Mfilipino kazi yake ni kuchoma viazi na si boxing
 
Wafilipino na boxing wapi kwa wapi?
Kazi yao ni kuchoma viazi
Pacquiao akajifunze kuchoma viazi
Boxing ina wenyewe
Floyd ndio dume
48-0
Who's next? Amir Khan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…