Kweli duniani hamna haki

Acha kulalamika wewe hujui hata vigezo vya majaji Watanzania kazi kubwa tunayojua ni kulalamika tu.
 
Mie nimeamua kukimbilia kijiwe cha kahawa kupunguza stress. Yaani kuanzia leo nimedharau huu mchezo kama katiba ya Chenge.
 
Maywether ndio ameizika boxing rasmi, hakuna mtu atafuatilia huu upuuzi tena

Sharobaro yule hana lolote hata yule digi (babu black) alikuwa akimpa shiti baada ya kuona anacheza kigodoro badala ya ngumi. Kabebwa tena bila aibu.
 
Kwa upande wangu kwenye boxing huwa nampa nafasi aliyemzidi mwenzie urefu hata kama hawajazidiana sana kwa sababu mrefu inakuwa rahisi kupiga sehemu zenye point na kujikinga yule mfupi asizifikie na mara nyingi ina kuwa hivyo mfupi inabidi afanye kazi ya ziada ya kutupa ngumi nyingi ili amchoshe ndio aweze piga sehemu za point vinginevyo labda jamaa awe hajui mbinu. huo ni uelewa wangu mimi. ndio maana sijashangaa jamaa kushinda
 
Mshazoea mapambano yenu ya DDC mnataka kufananisha na haya. Kalale huko
 
Tatizo letu wengi ni kwamba tunaangalia michezo bila kufaham sheria ya mchezo husika,,, mtoa mda hujui chochote kuhusu mchezo wa ngumi
 
Kama uli bett ndo ushaliwa kudaddek
 
Maywether ndio ameizika boxing rasmi, hakuna mtu atafuatilia huu upuuzi tena

Boxing sio sawa na Segere au Kigodoro wewe pimbi eti mwenye kukata viuno vingi ndio mshindi. Na pia Boxing sio sawa na Mchakato wa kugombea kuteuliwa kupitia Magamba eti mwenye hela za kuhonga ndio mshindi.
 
Mpaka sasa hivi najiuliza na sipati jibu inakuwaje mywether kapigwa round zote kumi na mbili lakn atawazwe kuwa mshind na man pacquio aliyeweza kumudu na kumkimbiza mywether round zote kushindwa mpaka sasa sijajua vigezo na sababu ya kutokea hvyo.

Hapo kijana wa kifilipino kaonewa, ni mpango mzima wa kuja kuaanda mechii ya marudiano mwezi wa September 2015. Mpango mzima ni kama tume za uchaguzi za nchi za kiafrika zinavyowabeba viongozi walioko madarakani. Kumbuka story ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Kenya Mhe Kivaitu???
 
Statistics of the fight: Pacquiao: 240 hits and 30 successful. Mayweather: 256 Hugs and 45 kilometers running.
 
Mimi Ni Team Myweither But Iam Not Impressed With Our Win!
 
Watu humu mnajifanya mnafahamu boxing kupitia kwenye keyboard
 
Mimi binafsi nmezifaham ndonga kipindi cha tyson so nkajua ndio znavyochezwa aah bye bye ndondi
 
Jamani tuache ushabiki mandazi kila mtu mchezo ameuona wa marekani hawapendi kushindwa s Myweather
Amependelewa
 
Mimi siuelewi kabisa huu mchezo,hata sheria moja siijui.

Kuna watu wameanza kucheki ngumi Jana na wamajiona wataalamu kinoma!!!

Unajiita team money wakati mfukoni una buku!!
 
Wakuu mimi siku zote kwenye hizi ndondi huwa nafurahia sana mapambano ya utangulizi kuliko pambano lenyewe.

Mfano leo yule Mu-Ukrine alivyompeleka puta M-Brazil na kale kajamaa ka Argentina kalivyompelela puta Mmexco.

May pamoja na Pac naona walikuwa wanaogopana labda kuumizana.

Ni mtazamo wangu
 
uliangalia pambano ukiwa na majibu akilini, be objective next time
 
Watu wengi humu wanalaumu kwa msukumo wa hisia zao na chuki zao dhidi ya bondia fulani...hawajui BOXING ni kitu gani??..hawajui hook ni kitu gani ?? Hawajui point zinahesabiwa vipi na kwa kigezo kipi.....hawajui kwanini PACMAN anatumia sana jab....hawajui kuwa defence skills ni moja ya nguzo muhimu kwa bondia.....hawajui kuwa si kila konde analorusha bondia basi huesadiwa point.....kwa kifupi hawajui lolote kuhusu BOXING...Chuki zimetawala vifua vyao mpaka wamepoteza uwezo wao wa kuchanganua mambo.....najua kinachowauma wengi ni show off za Mayweather na mabulungutu ya fedha..huku wao wakiwa hawana mbele wala nyuma......ninachotaka kuwakumbusha ni kuwa HARD WORK PAY.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…