SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,106
- 8,043
Ingeborg Syllm, kikongwe wa miaka 102, mzaliwa wa Ujerumani mwenye asili ya Kiyahudi avunja rekodi kwa kuwa mtu Mzee zaidi Ujerumani, na pengine ulimwenguni,kuwahi kutunukiwa shahada ya uzamivu (PhD).
Kikongwe huyo ambaye ni daktari bingwa wa watoto wachanga (neonatologist),ambaye amebobea katika ugonjwa wa donda koo (diptheria) kwa watoto watoto wachanga, miaka 80 iliyopita, wakati wa utawala wa kinazi , utafiti wake (PhD thesis) ulikataliwa kutokana na yeye kuwa na asili ya Kiyahudi.
Syllm alipohojiwa kuhusiana na uamuzi wake wa kukomaa na PhD katika umri huo alisema ameamua kufanya ikiwa kama ni hatua ya kuwaenzi walio uwawa katika utawala wa kinazi uliokuwa chini ya dikteta Adolf Hitler.