Michael Uledi
Senior Member
- Mar 29, 2023
- 132
- 323
Ni wazi sasa wale wote walikuwa wanapotosha kwa makusudi kuhusu tafsiri ya Sheria kuhusu Mkataba wa DP World Dubai na Serikali ya Tanzania, sasa wameishiwa pumzi kabisa na wapo "bar" wanaulizana kwamba Jamaa wametokaje hawa?
Wabunge wa Bunge letu safari hii walikuwa "watamu sana" katika Ujenzi wa hoja zenye mantinki,uzalendo na weledi mkubwa wala sikuwahi kudhania!Kati kati ya hoja nzito Wabunge wameweza kudigest mambo makubwa na kuweza kuyaeleza kwa Watanzania kwa lugha nyepesi na busara ya viwango vya juu sana!
KiTI (Spika) kilikuwa kimefunikwa na hekima na hofu ya Mungu sana huku akijazwa hekima na maarifa mengi katika kucheza na kutafsiri sheria za Mikataba!Big time Dr Tulia Ackson. Sijawahi kuwa na shaka na wewe.
Misingi ya Umoja wa Kitaifa ilitaka kutikishwa lakini Wabunge wamekataa kwa pamoja kwamba haiwezekani!Mh Nape Mnauye nakuunga mkono sana kwamba lazima tuwakabili mchana na uso kwa uso!
Sasa ni zamu ya Vijana wa CCM kueneza elimu hii nzuri ambayo imetoka ndani ya Bunge letu.
Wajibu huo lazima tuanze sasa!