Kweli energy drink ukichemsha ni sumu?

Kweli energy drink ukichemsha ni sumu?

Elisha Sarikiel

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2020
Posts
905
Reaction score
1,540
Je ! Kuna ukweli wa kisayansi katika hili, kwamba ukichemsha energy drink inageuka kuwa sumu?

Baadhi ya watu vijijini wanadai, kwamba UKICHEMSHA energy drink inageuka sumu hatari; kwa kila kiumbe kwa kutumia kuulia panya, wanapochanganya na vyakula wapendavyo wanapokula !

Baada ya kuchemsha energy drink wanaacha ipoe na kisha wanachanganya vitu wapendavyo viumbe hao waharibifu na kuwaweka njia zao ili wale kufa hasa kwenye maeneo ya kuhifadhi vyakula na kadhalika.

Pia wanadai hata chombo kilichotumika kuchemsha energy drink hakifai kwa matumizi ya kiumbe chochote na hivyo wana kiteketeza kabisa.

download (1).jpeg
 
Kila kitu n Kwa kiasi mtu unapwa kutumia ,ukizidisha lzm madhara yatatokea tu ,hvyo energy c mbayà ila mbayà ukizidishaa kiwangooo...
 
Energy inatumia mwaka wa 3
Japo sio kila siku ila hainipi shida kama inavopondwa hapa
 
Back
Top Bottom