Kweli hali ni mbaya, majirani wamenichinjia baharini

Daah nmejikuta nacheka peke yangu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].Aendelee tu kukaza hadi bia zifike buku ndo aache
 
Aisee nimecheka balaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakumbuka utaratibu huo uliwapo zamani sana,lakini ulishakufaga
 
Aisee nimecheka balaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakumbuka utaratibu huo uliwapo zamani sana,lakini ulishakufaga
Hahaha mimi na majirani zangu haukufa huo utaratibu .nimesubiri sana kupokea hotpot Leo.kitu holaa
 
Mi kuna mtu kanikera aseee,

Asubuhi na mapemmaa kama saa nne hivi nilianza kuzisikia dalili za kuwepo kitu, mpka saa tisa hamna sijashtuliwa wala wapi

Ikabidi niwapigie kengele kwa staili glani hivi kama saa tisa na nusu nikapiga taaalabu wapi,
Imefika saa kumi, nikapiga kaswida basi hata wajuwe kuwa leo niko upande wao wapiii


Daaaa kijioni hivi, sioni mtu nikajua tayari hali ishakuwa ngumu huku.


Tatizo ni mazoea wamenishindisha njaa

Saa mbimbili hivi za jioni nilikuwa na hasira nikaweka nyimbo za Rose Muhando mwanzo mwisho, nikachenji radha nikatupia bahati bukuku


Imefika saa tatu sijauona umuhimu wao


NIMEENDA KWENYE KITIMOTO NIMECHUKUA KILO HAPA NAKAANGA NA KA HAALUFU KAKE SI UNAJUAGA BHANA,

Nasikia tu huko milango inagongana na wengine wameamua kuwasha udi, mi nautafuta uvumba hapa
 
Hahha umeua mkuu .hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…