Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,265
Wanawake wote wana sifa moja....
They can change anytime depends with the way unavyo deal nae..
Sasa wewe amua.kama unamtaka kweli....mbadilishe mawazo
inawezekana trust me
lizzy,angekuwa yumo humu ningemuanzishia uzi wa 'simzimii',lol!
tindikali,kama anaendelea kurespond basi mwanawane endelea na marathon.ila kama hapoke simu na hajibu hizo sms jamani,yaani namuombea msamaha manake inakera mtu ambaye unajua hata duni iishe huwezi kuwa interested nae afu anakusumbuaaa!wadada wazuri wengi wako bwana,kwanza una-focus kwake opportunities zinakupita.
Acha ujinga wewe kijana, ana mtu wake mwache afurahie maisha yao. wake wako wengi na unaweza pata wako asiye na mtu. Kama unataka kumwachisha kwa mtu wake uwe tayari maana kile umtendeacho mwenzio kitakuja vile vile na kwa style ile ile. Ebu weka akili yako sawa, muombe Mungu akupe nguvu na ushauri.
...bora ulivyothibitisha ukweli, fuata moyo wako.
...Mawazo mabaya, usifuate akili yako,[/B] Utaumia!
Kaa na huyo msichana ongea naye lengo lake kwake, pia nini unachokijua juu ya huo uhusiani naye na huyo aliyemzidi sana umri,
wasichana wengi (siyo wote) wakiwa chuoni wanakuwa na uhusiano wa aina hiyo lengo kuu likiwa ni kupata huduma,
toka kwa hao waliowazidi sana umri lakin siyo mapenzi ya kweli,pia hawana muda wa kuoana nao.
Na wewe umesema lengo ni kumwoa pindi mmalizapo masomo, so kaa naye mwambie ukweli juu ya msimamo wako then,
Kama ni mkweli atakwambia ukweli, halafu mtafikia mwafaka nini cha kufanya.
KAMA HUYO NDIYO MKE WAKO ULIYEANDIKIWA NA MUNGU BASI LENGO LITATIMIA,
LAKIN KAMA SIYO ULIYEANDIKIWA BASI WEWE VUTA SUBIRA UTAMPATA MWINGINE UKIMALIZA CHUO.
anaweza change, jipe mda kama miezi 3 mbele, hakikisha ndani ya miezi hii unamtumia sms za asubuh, mchana, jioni na hata usiku bila kusahau meseji za kimatukio. lazima one day atashow respond tu, ila cha muhimu jipe mda wa kuyafanya yote haya na uwe na moyo wa subira.
Kaa na huyo msichana ongea naye lengo lake kwake, pia nini unachokijua juu ya huo uhusiani naye na huyo aliyemzidi sana umri,
wasichana wengi (siyo wote) wakiwa chuoni wanakuwa na uhusiano wa aina hiyo lengo kuu likiwa ni kupata huduma,
toka kwa hao waliowazidi sana umri lakin siyo mapenzi ya kweli,pia hawana muda wa kuoana nao.
Na wewe umesema lengo ni kumwoa pindi mmalizapo masomo, so kaa naye mwambie ukweli juu ya msimamo wako then,
Kama ni mkweli atakwambia ukweli, halafu mtafikia mwafaka nini cha kufanya.
KAMA HUYO NDIYO MKE WAKO ULIYEANDIKIWA NA MUNGU BASI LENGO LITATIMIA,
LAKIN KAMA SIYO ULIYEANDIKIWA BASI WEWE VUTA SUBIRA UTAMPATA MWINGINE UKIMALIZA CHUO.
Nadhani the opposite ndio kweli. Fuata akili yako. Ukifuata moyo wako ndo utaumia. Moyo hau-reason lakini akili ndio ina-reason.
...ha ha ha! hiyo "nadhani" unausemea moyo au akili?
</p>sms anajibu, simu anapokea,
Ukiona hivo hakuhitaji penda unapopendwa kijanaHatimaye mambo yamenibadilikia, sms hajibu pia kuonana na mimi hataki. Mapenzi haya!!!!!!!