KWELI HII KALI

KWELI HII KALI

zizu5

Member
Joined
Aug 29, 2016
Posts
65
Reaction score
41
*Mchumba wangu amenialika kwao nikawaone wazazi wake lakini akaniambia nisiende mikono mitupu*...

*Nikaamua kuvaa gloves*... *Sipendagi aibu ndogo ndogo ukweni*. [emoji57][emoji57][emoji57]
 
Sasa wewe nikwamba hujaelewa alimaanisha nini au ndio unaleta masihara, shauri yako utakosa mke kwakuendekeza utani utani usio na mpango katika mambo ya msingi
 
Back
Top Bottom