zizu5 Member Joined Aug 29, 2016 Posts 65 Reaction score 41 Sep 29, 2016 #1 *Mchumba wangu amenialika kwao nikawaone wazazi wake lakini akaniambia nisiende mikono mitupu*... *Nikaamua kuvaa gloves*... *Sipendagi aibu ndogo ndogo ukweni*. [emoji57][emoji57][emoji57]
*Mchumba wangu amenialika kwao nikawaone wazazi wake lakini akaniambia nisiende mikono mitupu*... *Nikaamua kuvaa gloves*... *Sipendagi aibu ndogo ndogo ukweni*. [emoji57][emoji57][emoji57]
sab JF-Expert Member Joined Jan 25, 2013 Posts 5,723 Reaction score 4,286 Sep 29, 2016 #2 Sasa wewe nikwamba hujaelewa alimaanisha nini au ndio unaleta masihara, shauri yako utakosa mke kwakuendekeza utani utani usio na mpango katika mambo ya msingi
Sasa wewe nikwamba hujaelewa alimaanisha nini au ndio unaleta masihara, shauri yako utakosa mke kwakuendekeza utani utani usio na mpango katika mambo ya msingi