Kweli hili nalo tatizo sijapata kuona

Mwambie aende hospitali kuonana na Daktari ampime ajue ni nini chanzo cha hivyo vipele kwenye huo uume mwambie aende haraka iwezekanavyo.@Nyigana
 
Tatizo la kuwa na vipele chini ya uume ni ugonjwa gani? tahadhari anaeuliza hajawahi kufanya mapenzi miaka 16 ameomba nilete hili swala hapa ili ajue nn tatizo

Labda tatizo ni huko kutokufanya hayo unayoyaita mapenzi, kwani aligombana na wadada kiasi akasusa kuoa.
 
Tatizo la kuwa na vipele chini ya uume ni ugonjwa gani? tahadhari anaeuliza hajawahi kufanya mapenzi miaka 16 ameomba nilete hili swala hapa ili ajue nn tatizo

Mwambie aache kupiga nyeto
 
Mwambie aende hospitali kuonana na Daktari ampime ajue ni nini chanzo cha hivyo vipele kwenye huo uume mwambie aende haraka iwezekanavyo.@Nyigana

amekuwa navyo mwaka wa tatu sasa na havina madhara yoyote vipo tu haviumi wala nn
 
Miaka 16 ni kawaida kabisa maybe alikuwa busy na kutafuta maisha akachuna kidogo kwa kuwa anajua kuwa haya mambo yapo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…