Kweli huu mwili wangu hauna shukrani kabisa

Wenzako wanapambana kupunguza uzito, wewe unapambana kupandisha uzito. Kama daktari amekuambia uzito huo ni hatari kwa afya yako pambana kuongezeka.
 
Inatakiwa ulinganishe uzito huo na urefu ama ufupi ulio nao ili upate uwiano sahihi...

Mbuzi mwenye uzito huo...mnadani hayupo na hapatikani...na ukimpata...huyo ni ndama mkubwa!...ni bei ya ng'ombe kabisa...tembea kifua mbele mkuu.
😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…