Brooklyn
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 1,459
- 286
Watanzania tuliofikisha umri wa kupiga kura na ambao tumejiandikisha kupiga kura, tafadhali tusiwaangushe hawa watoto ambao ni taifa la kesho kwa kumchagua Jakaya Kikwete na CCM ambao wamethibitisha kwa maneno yao wenyewe kwamba HAWAJUI KWA NINI TANZANIA NI MASKINI...KWA HIVYO HAWANA MAJIBU WALA MBINU MUAFAKA ZA KUWALETEA MAENDELEO WATANZANIA!!