watanzania tuliofikisha umri wa kupiga kura na ambao tumejiandikisha kupiga kura, tafadhali tusiwaangushe hawa watoto ambao ni taifa la kesho kwa kumchagua jakaya kikwete na ccm ambao wamethibitisha kwa maneno yao wenyewe kwamba hawajui kwa nini tanzania ni maskini...kwa hivyo hawana majibu wala mbinu muafaka za kuwaletea maendeleo watanzania!!
Wanaweza kuwa hawajui ila kama binadamu wana hisia. Wakishinda na njaa wanajua something wrong somewhere, akiugua na kupelekwa zahanati na dawa zikikosekana atatambua something wrong kutokana na sura ya mama yake kukosa matumaini.wanajua nini hawa?
Watanzania tuliofikisha umri wa kupiga kura na ambao tumejiandikisha kupiga kura, tafadhali tusiwaangushe hawa watoto ambao ni taifa la kesho kwa kumchagua Jakaya Kikwete na CCM ambao wamethibitisha kwa maneno yao wenyewe kwamba HAWAJUI KWA NINI TANZANIA NI MASKINI...KWA HIVYO HAWANA MAJIBU WALA MBINU MUAFAKA ZA KUWALETEA MAENDELEO WATANZANIA!!
Tuanze kuwaingizia mawazo ya Ukombozi
holy crap... how can one be proud of using inoocent minds without their knwoledge? kuna tofauti gani sasa ya hii picha na zile za ccm kuwakusanya watoto kwenye kampeni??
GUYS, LETS GET BACK TO OUR SENSES... KUCHAMBA KWINGI.....