Kweli Huyu ni JiweπŸ˜†πŸ˜†

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
4,310
Reaction score
7,465
Nimefuatilia siasa za kwenu tangu muanze kudukuana kwa masimu na langu ni moja tu.
Kweli huyu jamaa wenu ni jiwe. Umtukane au amdhalilishe hauwezi kulikwepa jiweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jomo Kenyatta alikuwa hivi. Kuna story za mtaani eti alikuwa na waita mawaziri anawatandika kama watotoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Babangu hua ananipigia hizo story, Alikua kila aendako Jomo, bakora lake haliko mbali, ukimkasirisha unashtukia ulishachapwa bakora kaa tatu ivi...... Lakini hio ya jomo Kenyatta ilikua ako na short temper....
 
Baba alikuana short temper mwanae ni mtu wa shots za tequila
Hata huyo mwanae nae hua ana kasirika hadharani na anashindwa kuficha hisia zake , labda akiwa mzee afike kama 75 ataanza kucharaza watu viboko kama babake



Mwanzo hapa ndo alikua hata ywatetemeka kabisa sababu hasira zimempanda

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…