Kweli jide ulisema hata uliowaheshimu leo hii wamekugeuka

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Duh kweli ukistaajabu ya matonya na mwana fa utayaona ya tid.nilikuwa nasikiliza nyimbo ya jide iliyowahi kutamba na kwa sasa itatamba upya baada ya yale maneno aliyoyaimba kuzaa matunda,wote aliowaheshimu leo hii wamemgeuka.inauma sana hawa watu wametoka na jide mbali na wameshirikiana na huyu dada kwenye nyimbo mbalimbali ambazo na amini kwa uwepo wa binti komando umezifanya nyimbo izo kuwa kali zaidi.siwez walaumu barnab na linah kwan hawa bado makinda sana wanahitaj kubebwa tuu na wasipoangalia huyu linah atakiwa kama ray c na barnaba kama tid.wasanii wa bongo mnatakiw mjitambue,jide ni msanii mkubwa na mwenye mvuto kwenye jamii,pesa anayo na anajuana na watu wazito hivyo support ipo ya kutosha na sisi team anaconda ad usual tupo behind you...waache hao waliozoea kuchezewa na kuingiliwa kinyume na wanaume wenzao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…