Kweli jina linasadifu mwenendo muhusika

Kweli jina linasadifu mwenendo muhusika

Kindus

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Posts
3,384
Reaction score
2,073
Wakuu leo nimejikuta natamani nami kutoa maoni yangu kwa jukwaa hili
Mie si mwandishi mzuri lakini nadhani moderator watanivumilia nifikishe hiki nilichokishuhudia.

Nikiri kuwa Mheshmiwa Rais Samia Suluhu Hasani ni mfano wa kuigwa wa demokrasia za kusini mwa jangwa la Sahara

Nimalize kwa kuwapa tafsiri ya jina hili la rais wetu
Samia = Msikivu
Suluhu = mwenye kuusuluhisha
Hassan = Mwema.

Kweli jina linasadifu tabia za muhuka
 
Burdani tupu.😂

Samia=Katiba Mpya.
 
Arejeshe mchakato wa Katiba Mpya ya Wananchi, na pia aandae mazingira ya uwepo wa Tume Huru ya Uchaguzi. Akitimiza haya matakwa 2 ya Watanzania walio wengi, hata mimi Tate Mkuu, nitamuunga mkono.

Hapo hakuna mwana ccm anayetaka kusikia hilo mana hizo ndio tools zilizobaki za kuimaliza ccm.
 
Wakuu leo nimejikuta natamani nami kutoa maoni yangu kwa jukwaa hili
Mie si mwandishi mzuri lakini nadhani moderator watanivumilia nifikishe hiki nilichokishuhudia.

Nikiri kuwa Mheshmiwa Rais Samia Suluhu Hasani ni mfano wa kuigwa wa demokrasia za kusini mwa jangwa la Sahara

Nimalize kwa kuwapa tafsiri ya jina hili la rais wetu
Samia = Msikivu
Suluhu = mwenye kuusuluhisha
Hassan = Mwema.

Kweli jina linasadifu tabia za muhuka
Ushalambishwa asali wewe
 
Back
Top Bottom