Tila-lila2
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 652
- 1,058
Anaongelea wapi?
Huko huko aliko lakini hata kwetu Idukilo, Kishapu, Shinyanga tutamsikia kaka. Usifikiri kuwa jamii yetu bado ipo kwenye remote area kama miaka mitano iliyopita. Kwa sasa ni mawasiliano yanafika kwingi sana. Hata bibi yangu juzi kaoneshwa clip ya George Floyd amewekewa goti huku huku Idukilo na bibi akaumia sana. Fikir nje ya box cop!Anaongelea wapi?
Hata ikiwa hivyo. Lakini atayoyaongea hata wewe utayasilikiza - tena mara tano tano. Na utafoward na kwa wengine! Fikiri nje ya box!Chumbani kwake akiwa na mke wake
Kwa maana hiyo Tanzania na watanzania tumeendelea??Huko huko aliko lakini hata kwetu Idukilo, Kishapu, Shinyanga tutamsikia kaka. Usifikiri kuwa jamii yetu bado ipo kwenye remote area kama miaka mitano iliyopita. Kwa sasa ni mawasiliano yanafika kwingi sana. Hata bibi yangu juzi kaoneshwa clip ya George Floyd amewekewa goti huku huku Idukilo na bibi akaumia sana. Fikir nje ya box cop!
Ingawa ubinadamu haupo!Kwa maana hiyo Tanzania na watanzania tumeendelea??
Dunia ielewe nini tena? Kama alienda mpaka hard talk ya bbc na VOA na amepuuzwa basi asahau.Huyu jamaa TAL katika hotuba yake anahutubia kwa Kiswahili na then kwa Kiingereza - maana yake unajua ni nini? Anataka dunia nzima ielewe mambo yale mabaya ambayo pengine yanafanyika Tanzania. Ukweli baya moja tu huweza kuchafua sana sifa ya mtu. Kwa mfano mchukue tu hata askofu ambaye siku zote ana maadili mema na anawaongoza watu vizuri kiimani, siku ikitokea kambaka muumini wake basi stori itakuwa kubwa sana ya kusemwa ubaya wake huo kulik stori ya mema ambayo ameshayafanya. TAL anavuta hisia kubwa sana kimataifa hasa tokana na tukio lake la kucharazwa risasi. Nasikitika sana why JPM hakuwahi kusema jambo kulaani kitendo kile na hata kuelekeza kuwa TAL arudi nyumbani na atampatia ulinzi. Hili linaenda kuharibu sana. Dunian kote hata uwe na uwezo mkubwa kiasi gani watu hujali ubinadamu kwanza. Ona ya George Floyd huko Marekeni - nani aliamini kama watu wanaweza kuwa vile. Nani anaamini hata wanajeshi na Polisi wenyewe kwa kitendo kile wamekilaumu. Mtu asikudanganye ubinadamu ni kila kitu - ni zaidi ya madaraja, njia za treni, barabara, shule bure na hata chakula! TAL alikosewa kuzingatiwa ubinadamu wake na Serikali hii - kwa kweli hili lina gharama. Maneno yake ya kesho yanaleta historia isiyo ya kawaida.
Huyu bwana tukubali tukatae atabadilisha watu sana. Uchaguzi wa Mwaka huu utakuwa mgumu kuliko yote iliyopita. Najua hataongelea kulipiza kisasi ila ataongelea tu ubinadamu unavyobinywa na umaanani unavyowekwa kwenye vitu. Mwenyewe kwa binafsi yangu huwezi kunipa kitu kwa matusi nikakubali hata kama wewe ni tajiri kiasi gani! Kukosekana kwa ubinadamu kumetuharibia CCM, ndiyo maana hata mafly ova ya TAZARA na Ubungo hayajatupa msosi wowote ule na zaidi yake yamezuia nyongeza ya mishahara ya walioko kazini.
Tukutane kesho!Dunia ielewe nini tena? Alienda mpaka hard talk ya bbc, kama hapo hakusikika alivyodhani ASAHAU...
Mtanipa feedback hapa jf, sina muda wa kumsikilizia laivu.Tukutane kesho!
Bila kukubeza, jaribu kufanya hesabu ndogo ya kichwa - ni wangapi wata ona ubinadamu unaousemea na kulinganisha na miundo mbinu iliyo tengeneza halafu wachague Lissu kwa ubinadamu! Nafikiri watakuwa wachache sana.Huyu jamaa TAL katika hotuba yake anahutubia kwa Kiswahili na then kwa Kiingereza - maana yake unajua ni nini? Anataka dunia nzima ielewe mambo yale mabaya ambayo pengine yanafanyika Tanzania. Ukweli baya moja tu huweza kuchafua sana sifa ya mtu. Kwa mfano mchukue tu hata askofu ambaye siku zote ana maadili mema na anawaongoza watu vizuri kiimani, siku ikitokea kambaka muumini wake basi stori itakuwa kubwa sana ya kusemwa ubaya wake huo kulik stori ya mema ambayo ameshayafanya. TAL anavuta hisia kubwa sana kimataifa hasa tokana na tukio lake la kucharazwa risasi. Nasikitika sana why JPM hakuwahi kusema jambo kulaani kitendo kile na hata kuelekeza kuwa TAL arudi nyumbani na atampatia ulinzi. Hili linaenda kuharibu sana. Dunian kote hata uwe na uwezo mkubwa kiasi gani watu hujali ubinadamu kwanza. Ona ya George Floyd huko Marekeni - nani aliamini kama watu wanaweza kuwa vile. Nani anaamini hata wanajeshi na Polisi wenyewe kwa kitendo kile wamekilaumu. Mtu asikudanganye ubinadamu ni kila kitu - ni zaidi ya madaraja, njia za treni, barabara, shule bure na hata chakula! TAL alikosewa kuzingatiwa ubinadamu wake na Serikali hii - kwa kweli hili lina gharama. Maneno yake ya kesho yanaleta historia isiyo ya kawaida.
Huyu bwana tukubali tukatae atabadilisha watu sana. Uchaguzi wa Mwaka huu utakuwa mgumu kuliko yote iliyopita. Najua hataongelea kulipiza kisasi ila ataongelea tu ubinadamu unavyobinywa na umaanani unavyowekwa kwenye vitu. Mwenyewe kwa binafsi yangu huwezi kunipa kitu kwa matusi nikakubali hata kama wewe ni tajiri kiasi gani! Kukosekana kwa ubinadamu kumetuharibia CCM, ndiyo maana hata mafly ova ya TAZARA na Ubungo hayajatupa msosi wowote ule na zaidi yake yamezuia nyongeza ya mishahara ya walioko kazini.
Sema kura yako ndio hapati lkn usiwasemee wengine.Yeye aongee tu ni haki yake. Lakini kwa kura HAPATI hatuwezi kumpa afufue kesi na MIGA labda atuweke sawa hapo
Hajawahi kuongelea Urais wake utakuwaje! Najua utamfahamu kesho!aongee mara ngapi????mbona ashaongea sana huko ughaibuni na tena kwa kualikwa kwenye vyombo vya habari vikubwa, kwa hiyo hakuna jipya
kinachomponza yule dogo ni kiburi na kudhani watu wa huko duniani wana maana na thamani kubwa kuliko hata nchi yake mwenyewe