Kweli Kabisa CCM tunashangazwa kuanzia kesho!

atakuja kugombea uraisi?

Mabeberu watakuwa wanamsindikiza kwa mbaali na wapelelezi wao

This time akiumizwa nakuambia yale ya Idd Amin Dada na Waesrael yanaweza tokea

Au wamarekani na osama pakistan

Au wamarekani na Saddam Hussain

Au kulee libya ya Muamal Ghadaf

Lolote lakustajabisha laweza kutokea kwa mabeberu.
 
Naunga mkono hoja, madaraja hayametunyima nyongeza ya mishahara.
 
Nimesoma nikijaribu Kuelewa nini maana ya TAL. Nikawa na hisia. Baadaye nikaanza kuhisi umri wako na kiwango cha uelewa wako. Kwa ufupi wewe ni kijana wa miaka kati ya 23 - 25. Tatizo ni uelewa wako uko chini ya umri wako. Ulitakiwa uwe na uelewa zaidi ya hapo. Bado unaamini ukipiga kelele sana, Ukaongea kiswahili na kiingereza nje wakakusikia, hatimaye unapata kura za wa-TZ? Huo si ujinga? Au unaona kuna mtaji ndani yake?

Nakupa ushauri. Jitahidi kujisomea vitabu vya maana, magazeti ya maana na usikilize taarifa za maana kwenye redio na TV. Achana na kukariri majina ya wachezaji mpira. Hawana lolote ktk ubongo wako.
 
ok, tusubiri kesho tumsikie anasemaje.
 
Mkuu umeandika na umefikilia nje ya box
sisi wengine tunasubili sheria ya Mgombea
binafsi hatuna vyama but sio kigezo cha
Kutoipenda nchi yangu na hatuna chuki
na Chama chochote ,sisi tunataka hukija
kwetu basi uje na hoja za msingi tukupime
na tukupe kura ,na sisi so lazima Chama
kimoja kipate kura zote kuanzia Diwani mpaka rais big no,labda itokee wrote walio
Simama tunawaelewa madin yao ,
Na tuko wengi asikudanganye MTU
Sasa kwa hoja hii ,nilisha sema na narudia
Chama dola kijipange uchaguzi wa mwaka
huu ,lissu anajua akifanyacho ila mkimzalau bila kutokua na mikakati mizuri
Mtakipata cha mtema kuni mapema
kama sio kesho yake .
ANGALIZO
Sisemi hivi kwamba naombea Ccm ishinde
No,hata CHADEMA Ongeza mikakati
ya kuchukua dola binafsi chochote Chama
kitakacho shinda is OK maana kila Chama
cha siasa lengo kuu nikuleta maendeleo
kwa wananchi so I don't care even if
Is CHAUMA,all the best
 
Na hayo ndio matunda ya JPM umeweza kumuonyesha bibi yako had video kutokana na njia za mawasiliano kufunguka had kwenu. Tofaut na miaka mitano iliyopita. Hongera kwa kujua mchango wa mzee wetu magu. Subir uo uchaguzi mgumu uone
 
Apati hata robo ya kura yule bwana mkubwa elewa sio unawaza kwa hisia zako, waza kwa ubongo wako jiwe atashinda kwa kura za kutosha tuu. Endelea kusubir ndege bandarini
 
Tila-lila2,
Uchambuzi murua kabisa. Na hakika CCM Mpya na serikali yake inaona siku ya Jumatatu tarehe ya mwezi June 8, 2020 bora ifike haraka.

Maana CCM Mpya na viongozi wao mapigo yao ya mioyo , kuweweseka, ndoto za jinamizi, pressure na msongo wa mawazo umefika kiwango cha juu sana kisicho himilika na hii kuisubiri kesho ni mateso makubwa kwao lakini ndiyo hivyo tena wavumilie tu. Wavune walichopanda.
 
Kesho tundulisu akifikisha watu elf mbili watao msikiliza kwenye Facebook bas atafaa kua hata diwan
 
Mtaziweka humu nyie wenyewe mie sina huo muda mchafu. Nikiingia humu kesho nitakuta mmeziweka wenyewe...

Usifunguwe huo uzi. Ukifunguwa nikama kubisha hodi mlangoni kwa shida zako.

Wewe kaa mbali wala hutabughuziwa na usisome kabisa.
 
Muwaandalie kabisa vidonge vya usingizi Kuna Watu hawatolala kuanzia kesho.
 
Huyo akiachiwa tumpigie kura bila hujuma

Ccm mkipata 10% mkatambike.

Ni hujuma pekee ndio inakufanya useme hana impact.



Hana impact kbsa huyu, labda mbio za ushuzi wa kupayuka, wenzake wapo wanakula mabilioni ya ruzuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…