Kweli Kafulila ni beki mstaarabu

Kweli Kafulila ni beki mstaarabu

Wapinzani ndiyo waliomtengeneza kafulila tangu enzi anadhihakiwa na aliekuwa mwanasheria mkuu FRIEDRICH WEREMA kwa kuitwa TUMBILI wakati wa makabiliano wa fedha za escrow, hivyo upinzani hata haifikirii kuwa ni tishio.
Hata hivyo hatoweza kujibu hoja mujarabu kama ishu ya DP World
 
Mheshimiwa David Kafulila Ni kichwa kwelikweli,ni kiongozi na Nusu,ni akili kubwa na mfano wa kuigwa kwa watu wengi kwa moyo wake wa uzalendo na uchapa kazi wake. Ni kiongozi mbunifu na mwenye moyo wa kujituma na kujitolea. Mungu ambariki sana Mheshimiwa Kafulila.
 
Watu wa Kigoma huwa ni vichwa,,wakiacha uchawa wanakuwa analytical sana.Shida kubwa kwao wanaoa uchagani sijui kwanini
 
Jamaa ametulia sana kwenye nafasi yake.

Anakabaka na kupiga mipira yote mbele ili kupeleka mashambulizi.

Kweli wapinzani nao wajipange.
Upinzani wameingiaje?. Umeona Kuna mpinzani ana muda na Kafulila?. Yeye aendeleze uchawa wake maana bila hivyo atatenguliwa.
 
Back
Top Bottom