Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Jamaa ametulia sana kwenye nafasi yake.
Anakabaka na kupiga mipira yote mbele ili kupeleka mashambulizi.
Kweli wapinzani nao wajipange.
Upinzani wameingiaje?. Umeona Kuna mpinzani ana muda na Kafulila?. Yeye aendeleze uchawa wake maana bila hivyo atatenguliwa.Jamaa ametulia sana kwenye nafasi yake.
Anakabaka na kupiga mipira yote mbele ili kupeleka mashambulizi.
Kweli wapinzani nao wajipange.
Hakuna anayelipwa hapaKuna watu mnalipwa humu.. si bure