Kweli kama unajua hauitaji kiki binafsi namkubali sana 2ngaraza

Kweli kama unajua hauitaji kiki binafsi namkubali sana 2ngaraza

CARIFONIA

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2013
Posts
616
Reaction score
1,453
Kweli bongo land tumejaliwa kua na vipaji vingi sana, na watu wanajua kweli, ndio sababu hata mkuu wa nchi leo wakati anavunja bunge amewapongeza sana wasanii wetu kwa kupeperusha bendera vyema ya nchi hii.

Nikija kwenye mada yangu, yahani kuna huyu mwamba anajiita 2ngaraza binafsi namkubali sana jamaa anaweza bana, mimi naona ni muda wa wasanii kama hawa kupewa nafasi kuliko music industry kujaa wasanii wanaotegemea kiki wakati kazi zao mbovu.
 

Attachments

  • VID_74080627_040805_072.mp4
    2.4 MB
Naona unajiandikia thread ya pili [emoji1787][emoji1787] sawa unaweza msanii muhimu kukaza tu
 
Back
Top Bottom