Kweli kipaji hakipotei Dj Fetty bado yuko vizuri

Kweli kipaji hakipotei Dj Fetty bado yuko vizuri

kwa-muda

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2018
Posts
2,097
Reaction score
5,348
Nilidhani akirudi kwenye utangazaji atambwera atakuwa outdated kumbe bado youko sawa anaweza rudi akashika nafasi yake maana naona kaungana leo na wenzake kwenye XXL chemistry iko sawa.
 
Yuko vizuri sana nilikua napenda combination yao Yeye , mchomvuna Na B dozen
 
Huyu alikuwa DJ na mtangazaji maaruf pale Clouds. Baada ya kumdatisha jamaa, jamaa akaoa kabisa na kumwachisha kazi... Sasa vyuma vimebana, naona bidada kaamua arudi kibaruani ili kumpiga tafu mshikaji wake, which is good. Maisha ni kusaidiana...
Hajarudi mkuu uwa mara moja moja kila mwaka anakuja kumbushia na kama umefuatilia hii week walikuwa wanaleta watu wengi waliofanya hapo miaka ya nyuma na yeye nadhani kaja kwa style hii
 
Huyu alikuwa DJ na mtangazaji maaruf pale Clouds. Baada ya kumdatisha jamaa, jamaa akaoa kabisa na kumwachisha kazi... Sasa vyuma vimebana, naona bidada kaamua arudi kibaruani ili kumpiga tafu mshikaji wake, which is good. Maisha ni kusaidiana...
Ohhhooooo.....
Asante kwa ufafanuzi mkuu, minilidhani labda alikua disii samuwea
 
Ohhhooooo.....
Asante kwa ufafanuzi mkuu, minilidhani labda alikua disii samuwea
Una bahati umepata mtu ambaye ni mstaarabu, huwezi sema unahisi alikuwa DC wakati anaitwa Dj Fetty na thread inasema kabisa alikuwa mtangazaji.................................
 
bro haya ndio madhsra ya constipitation (mavi magumu) kula mlenda matunda na vitu rojorojo hili comment zako ziwe na mantik

Mbaaff
HILI comment zako X X
Ili comment zako √√√√

usipende kunya mavi malaini kama bata madhara yake ndo hayo
jitahidi kiswahili chako kiwe na maana sahihi
 
Una bahati umepata mtu ambaye ni mstaarabu, huwezi sema unahisi alikuwa DC wakati anaitwa Dj Fetty na thread inasema kabisa alikuwa mtangazaji.................................
Mkuu....
Hivi unajua kwamba, kuchamba kwingi kutasababisha ushike mavi...[emoji55] [emoji55]
 
Mkuu....
Hivi unajua kwamba, kuchamba kwingi kutasababisha ushike mavi...[emoji55] [emoji55]
Ukiweka uzungu ukachambia makaratasi kwa jina la toilet paper hutoyashika ila utayapakaza ila ukiwa mstaarabu bila uzungu lazima uyashika na kuyaondoa kwa maji.
 
Back
Top Bottom