Kweli kipendacho roho hula nyama mbichi Niliacha kusoma bachelor ya IT na kusoma CO

Ba Liz

Member
Joined
Aug 10, 2013
Posts
58
Reaction score
8
Mwaka jana TCU walinitupa kwenye kozi ambayo sikuichagua bachor ya IT chuo I.F.M,kweli sikuipenda na nimeamua kwenda kusoma Clinical medicine...Sasa kuna watu wananiponda eti nimekimbia mshahara mzuri na fuata mshahara mdogo lakini mimi naona bora nisome C.O kwa sababu naipenda nitapigana mpaka niifikie elimu ya juu.Je, ungekua wewe ungefanyaje?
 
Ningekuwa mimi ningesomea umochware attendant.

Napenda sana kuwahudumia waliotangulia mbele ya haki, wale ambao nyie maCO mnashindwa kuwahudumia.
 
uko sawa mm mwenyewe tcu walinipeleka ifm but nilisepa kwanza ifm haijatulia ki academic ya it harafu kwann tcu wawapeleke wanafunzi kalibia wote hawakukiomba chuo kile mwaka jana iyo.na msomaji anapelekwa haliya kuwa nikipofu so kuna kjn alipiga hgl alipewa acount just imagine
 
Ningekuwa mimi ningesomea umochware attendant.

Napenda sana kuwahudumia waliotangulia mbele ya haki, wale ambao nyie maCO mnashindwa kuwahudumia.

ila umri bado unaruhusu! kasomee tu hiyo M.A ..

inaonekana una mvuto na hiyo kazi!
 
kusoma HGL haina maana haiwezekai kupiga acounts,kuna mshikaji wangu alipiga hiyo hiyo na saa hizi juzi kapa CPA,na mwingine alipiga HGK na kapiga IT na kazi nzuri kapa na mke mzuri kamuoa........
 
ila umri bado unaruhusu! kasomee tu hiyo M.A ..

inaonekana una mvuto na hiyo kazi!

Ewaaa.... Ukiona Ziraili anakunyemelea do not hesitate to dial my numbers.

Ntatoa huduma bure.
 
Unamaanisha nini kusema İFM haijatulia kiakademiki?
 
ww hujui ifm ni chuo cha kata,mnapelekwa watu ambao tokeo siyo zuri
 
Ningekuwa mimi ningesomea umochware attendant.

Napenda sana kuwahudumia waliotangulia mbele ya haki, wale ambao nyie maCO mnashindwa kuwahudumia.

Inaonekana ukipewa hiyo kazi utakuwa unawashughulikia wale walioletwa ambao bado wana moto moto.
 
Inaonekana ukipewa hiyo kazi utakuwa unawashughulikia wale walioletwa ambao bado wana moto moto.
Mkuu ulijuaje.....?............... Usiwaambie mabinti wenye nyodo tafazali:shut-mouth::shut-mouth:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…