Mwaka jana TCU walinitupa kwenye kozi ambayo sikuichagua bachor ya IT chuo I.F.M,kweli haikuwa moyon kabisa na nimeamua kwenda kusoma Clinical medicine...Sasa ndugu wananiponda eti nimekimbia mshahara mzuri na fuata mshahara mdogo lakini mimi naona bora nisome C.O kwa sababu naipenda nitapigana mpaka niifikie elimu ya juu.Je, ungekua wewe ungefanyaje?