Kweli kipendacho roho hula nyama mbichi Niliacha kusoma bachelor ya IT na kusoma CO

Ba Liz

Member
Joined
Aug 10, 2013
Posts
58
Reaction score
8
Mwaka jana TCU walinitupa kwenye kozi ambayo sikuichagua bachor ya IT chuo I.F.M,kweli haikuwa moyon kabisa na nimeamua kwenda kusoma Clinical medicine...Sasa ndugu wananiponda eti nimekimbia mshahara mzuri na fuata mshahara mdogo lakini mimi naona bora nisome C.O kwa sababu naipenda nitapigana mpaka niifikie elimu ya juu.Je, ungekua wewe ungefanyaje?
 
nisinge acha kusoma masomo ya utajir na kukimblia umaskin uoo........mpka mgome ndo mshahara utapandaa......we we ushawah kusikia ma IT officers wanataka kugoma ..........umebuki mzazi..............
born poor
live poor
die poor unless ucheze deal fambaaaa........
na ukiacha mkasi tumbn mwa mtu.......tutakufungunga miaka ,....1000....
labda uniambie kwa sababu ya kuajiriwa moja kwa moja ndo-maana umekimbilia huko hapn ntakuelewa-----maana soko la ajira kwa a cmpter guys hawa n hafifu............
 
Soma tuuuuuuu Utajutaaa baadaeeee
 
ua vry right, IT haina issue! alwayz stand with ua own decision! life is't probability, one day yec u'll remember thz truth!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…