Kweli kocha wa Taifa Stars analipwa kuliko wote Afrika?

Kweli kocha wa Taifa Stars analipwa kuliko wote Afrika?

mkama

Member
Joined
Oct 19, 2007
Posts
67
Reaction score
10
Ni kweli kwamba kocha wa timu ya taifa ya tanzania ya mpira wa miguu analipwa hela nyingi kuliko makocha wengine wote afrika?

Naomba mwenye info atumwagie hapa jf
 
Kwani analipwa shs/USD ngapi? hii itasaidia kupata pa kuanzia sio hewani namna hiyo.
 
Hizo ndizo pesa wanazokwiba halafu wanajifanya kumwekea mkataba ambao hata TFF hawaoni ndani. MAFISADI.
 
vipi uyo kocha wa taifa stars keshataja majina ya team ta Taifa?
tupeni list
 
Duuu !!!! kaburi la miaka 18 iliyopita limefukuliwa.🤣🤣🤣
 
Nahisi kocha alikuwa Marcio Maximo Raia wa Brazil.

Jamaa aliukamata mpira wa Bongo hakukuwa na kelele za simba na yanga.

Kocha alikuwa na misimamo ya kutisha.
Kaseja aliisoma Namba.
Haruna Moshi alikiona.
 
Kocha huyu ....chawakwa mama awaongezee muda wafike 2027?? Siasa chawa mbayaaaa
 
Back
Top Bottom