Kweli Kubet ni kazi ngumu

Kila la kheri mpambanaji japo kungekuwa na option ya kutoa mapema ningekushauri uutoe tu mpunga ulipofika sio pabaya sana na wala sio pazur sana hawa jamaa dk za mwisho unaweza sema wanavisa na wewe....ila kosa jingine la kiufundi ni kuuweka huo mkeka kabla ya kushinda au kushindwa humu jukwaani kuna watu wana macho mabaya sana, binafsi nakuombea ushinde maana hawa watu wa kamari wanatka kurudisha watu vijijini kwa nguvu so mmoja ukimpiga angalau na wao wapate maumivu kidogo.
 
yaani hii bayern ikikutana na yanga watapigwa goli nyingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…