kweli kuna baa la njaa cheki hao mbuzu

Wameshajua kuna njaa wanahofia kuchinjwa.
 
ile mifugo 3000 ilikuwa mizembe tu..Hongera mbuzi kwa ubunifu
 
Hawo hawafii kwa muuza supu wanafia juu ya mtiiiiiii
 
hakika hao ni mbuzu,πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ maana sio wa mchezo mchezo
 
Yaaani nimekuja kwa nguvu zote nikajua habari ina mashiko... Kumbe ni utani tuu... Ila umejitahidi kuunga uunga hiyo picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…