Kweli kuna haja ya kusoma vipaji vya watoto wetu na kuviendeleza

Mandown

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2012
Posts
1,665
Reaction score
507
hivi karibuni amezikwa msanii nguli ambaye naa mini hakuwa msomi saana, ameishia elimu ya sekondary tu lakini ana mafanikio makubwa. kama wazazi wake wange kuwa ndio wale wa "kitaratibu", natumai saa hii kanumba angekuwa risiti form six!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…