demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Kuna fununu za chini ya kapeti kuwa dogo kashawishiwa na wakala wake anaye msimamia kuwa avunje mkataba kwa maelewano ya pande kuu mbili ili kijana apate kujiunga kwenye upande atakao pata maslahi zaidi.
Tetesi zanasema hizi pande kuu mbili zina surprise kubwa sana kwa mashabiki wao, kwamba kila timu imesajili mchezaji ambaye atashtua bara zima.
Je, hizi taarifa ni kweli? Basi muda utajibu
Tetesi zanasema hizi pande kuu mbili zina surprise kubwa sana kwa mashabiki wao, kwamba kila timu imesajili mchezaji ambaye atashtua bara zima.
Je, hizi taarifa ni kweli? Basi muda utajibu