Mbona mnahangaika na Miquissone wakati hawahusu nyie UTO?
Kila siku mnamuwaza yeye. Mnafikiria Simba hii ni ya miaka ilee ya kuendeshwa kikanjanja?
Endelea kumsubiri basi aje kwenu! Na kuja kwenu sio tatizo,tatizo Yanga haina hela ya kumnunua Miquissone,kununua Mkataba wake sio jambo rahisi. Lakini mnavyohangaika utadhani Miquissone ni level za kina Ajib.
Yaani wanatengeneza Progapanga ili kwenye 'Kitchen Party' yao wapate wahudhuriaji wengi.Endelea kuota ilo tamasha lenu kwa izi propaganda ampati mtu
Mikia iendeshwe kikanjanja mara ngapi,subirini kitu kizito cha utosi nyie babra FCMbona mnahangaika na Miquissone wakati hawahusu nyie UTO?
Kila siku mnamuwaza yeye. Mnafikiria Simba hii ni ya miaka ilee ya kuendeshwa kikanjanja?
Endelea kumsubiri basi aje kwenu! Na kuja kwenu sio tatizo,tatizo Yanga haina hela ya kumnunua Miquissone,kununua Mkataba wake sio jambo rahisi. Lakini mnavyohangaika utadhani Miquissone ni level za kina Ajib.
Yanga haina uwezo huo. Yanga haina uwezo wa kumnunua Mchezaji hata kwa milioni 500,itakuwa Miquissone mwenye Thamani ya kuanzia Dola laki 5?Litakufa jitu mara paap yanga day tunamtambulisha misquonne
Kitu kizito kitadondoka kichwani muda sio mrefu.Yaani wanatengeneza Progapanga ili kwenye 'Kitchen Party' yao wapate wahudhuriaji wengi.
Kwamba wachezaji waliowasajili hawatoshi kuipa Promo timu yao?
Hii Klabu inaendeshwa kishamba sana,Hersi na GSM kwa ujumla wanajitahidi kuiendesha kisasa ila bado ina watu ndani ni makanjanja mno.
Na timu inayoshawishi mchezaji mwenye mkataba na kumsainisha mkataba hiyo tuseme ndiyo kuendeshwa kisasa? Hongereni Sana.Yaani wanatengeneza Progapanga ili kwenye 'Kitchen Party' yao wapate wahudhuriaji wengi.
Kwamba wachezaji waliowasajili hawatoshi kuipa Promo timu yao?
Hii Klabu inaendeshwa kishamba sana,Hersi na GSM kwa ujumla wanajitahidi kuiendesha kisasa ila bado ina watu ndani ni makanjanja mno.
Unaandika kama umekalia kitu kigumu chenye ncha butuKuna fununu za chini ya kapeti kuwa dogo kashawishiwa na wakala wake anaye msimamia kuwa avunje mkataba kwa maelewano ya pande kuu mbili ili kijana apate kujiunga kwenye upande atakao pata maslahi zaidi.
Tetesi zanasema hizi pande kuu mbili zina surprise kubwa sana kwa mashabiki wao, kwamba kila timu imesajili mchezaji ambaye atashtua bara zima.
Je, hizi taarifa ni kweli? Basi muda utajibu
Wachezaji wao wakirudi Morocco wapimwe marinda kwanza.Utopolo mambo ya Simba haya wahusu.