Kweli kuwa Luis Miqquiesone kavunja mkataba?

Inawezekana.

Leo tuliambiwa timu yangu ya Simba uko Morocco itacheza mechi ya kimataifa ya kirafiki nikahamua kufuatilia huo mpira nikajiuliza siku hizi mechi zinachezwa hazina Waamuzi wa pembeni.

Suala la uwanja ambao hauna majukwaa wala mashabiki sio tatizo labda sababu ya Covid 19.
 
Hiyo mechi umeangalia kupitia nini?
 
Shida ya utopolo ni creativity midfielder na kuwa na classic players yanga ukiitoa first eleven yao waliobaki nje hawatishi
 
NI KWELI za chinichini zinasema utopolo wametoa bilioni 5 kwa simba na mshahara wa milioni 120 kwa mwezi kwa luis
 
Yaani Kuna watu wanaweza kuamini huu ujinga..[emoji23][emoji23] nakumbuka yanga walitengeneza Hadi jezi za chama msemaji wao akawadanganya ujinga..
 
Unaijua bilion lakini
 
Hajavunja mkataba bali alikuwa kwa mkopo simba na timu yake imemchukua

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Hata Chama mmewahi kumsajili mara nyingi Utopolo, mpaka gazeti lenu lilitoa picha. Mnapenda sana kuota
 
Msimu uliopita Utopolo walitafuta Kick ya kuwapoza washabiki wao kupitia Chama

Msimu huu kupitia Miquisson

Msimu ujao ni kupitia Banda

Manyani kuyadanganya ni rahisi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…