chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Bongo flavour ya zamani ilikuwa kali sana, ma-dj wachache, waandaji wa mziki wenye utaalamu wao kama P-Funk,Master Jay na wengine.
Game la mziki wa zamani watu walijitolea japo mziki ujawapa wengi maisha na wengine kuondoka ughaibuni.
Na wengine tupo nao mtaani kama babu inspector sasa hivi ni fundi simu mbagara huko,noora muuza duka na wengine wengi wanashughuli zao ambazo sio mziki sasa kutokana na game kubadilika.
Tuje kwenye mada.
Hapa tunamuongelea sister p na zay b walivokuwa wanawake bora kwenye kuchana mpaka ilifika kuwapambanisha.
Tumuache dataz yule dada aliyekuwa na wimbo mume wa mtu.
Hivi hawa nao wataja wapo wapi sasa!
Tetesi na sikia zay b yuko USA !
Huyu sister P kama basi ni mwanza ndio makazi maalumu.