Kweli makamanda wamevurugwa wana mkana Askofu mwamakula hawajui kanisa lake!

Hili kitambo tulihoji ila mahaba yakizidi chongo huitwa kengeza sijaongeza......
Mwamakula Bandekile ni FAKE PASTOR. Mhuni fulani tu kasoma Azania enzi hizo baada ya kupigika kaamua kutoka ki-Moravian. Ila wajanja wakamshitukia.

Mwamakula amepinda tu kama mateja yanayovuta unga. Yeye Hana kanisa wala waumini popote japo anaitwa Askofu wa Moravian Uamsho. Emmanuel Bandekile Mwamakula ni Tapeli tu kama tapeli yeyote unayomfahamu. Wenzie wa Moravian Mbeya walimtimua walipoona ni mdokozi wa sadaka
 
Weka hapa hii tweet ni ya lini, isije ikawa wakati akisema hayo ww ulikuwa jela, sasa ndio umetoka unataka kufanya kama ni habari ya jana jioni.
Ujumbe umeulewa au hukuekewa nikusomee!
 
Hasomeki....
 
Unakosea sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…