Kweli Mapenzi upofu kiss

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
Niliwahi kuandika makala kuhusu mahusiano kati ya Aziz Ki na mrembo wa kuchanua misamba Mobetto, mahusiano yamezaa athari chanya kwa wapenzi wa soccer nchini

Aziz Ki alipewa offa na vilabu vikubwa na mshahara munono hadi malipo ya Milion 98 kwa mwezi ili aende kuzechezea huko lakini alikataa kwenda huko na kuamua kubaki Tanzania 🇹🇿 aendelee kufaidi uhondo na Utamu wa Mobetto

Ama kweli mapenzi ni upofu, hata Samsoni alikufa sababu ya Mwanamke. Hivi leo kijana wetu ambae alitumwa na wazazi aje kutafuta maisha anakubali Kuendelea kucheza kwa mshahara wa laki nane kwa sababu ya demu inaumiza sana na huu ni wendawazimu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji360] anatumika ili kumsafisha muhandisi na ndoa yake, nilisoma kwa Nifah asante kwa kutufungua macho mjini kuna mengi
Tena haswaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…